Home / Shop / Textbooks-Grade 4-6 / Kiswahili Dadisi Revised Edition 2024 Mwongozo wa Mwalimu Gredi 5

Textbooks-Grade 4-6 Β· SKU TKB-0076
Kiswahili Dadisi Revised Edition 2024 Mwongozo wa Mwalimu Gredi 5
KSh 591.60
In stock Author: Pauline Kea, Jackline Ndege, Evans Osoro, Zephania Mucheria
π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 5, utapata:
Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya. Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya βBurudikaβ.

You may also like
Textbooks-Grade 4-6
Growing in Christ CRE Revised Edition 2024 Teacher's Guide 6, Grade 6
KSh 649.60
1
Textbooks-Grade 4-6
Our Lives Today Social Studies Workbook Revised Edition 2024 Grade 6
KSh 730.80
1