Home / Shop / Textbooks-Grade 4-6 / Kiswahili Dadisi Revised Edition 2024 Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 5

Textbooks-Grade 4-6 Β· SKU TKB-0075
Kiswahili Dadisi Revised Edition 2024 Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 5
KSh 719.20
In stock Author: Jackline Ndege, Pauline Kea, Evans Osoro, Zephania Mucheria, Francis Waititu
π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 5, utapata:
1.Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya. Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
2.Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
3.Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
4.Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
5.Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya βBurudikaβ.