πŸ“΄ You are offline β€” showing saved pages. Orders and changes are saved on this device and will sync automatically.
πŸ“ž +254 780 821 504 Β· Pay on delivery or M-Pesa PaybillChat with us on WhatsApp
All productsArt & CraftFiling & StorageGrade 1-3Grade 10-12Grade 4-6Grade 7-9Office SuppliesPaper & NotebooksPlay Group-PP2Printing & Computer AccessoriesSchool SuppliesTextbooks-Grade 1-3Textbooks-Grade 10-12Textbooks-Grade 4-6Textbooks-Grade 7-9Textbooks-Playgroup - PP2Writing Instruments.
Home / Shop / Textbooks-Grade 4-6 / Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu Gredi 4
Textbooks-Grade 4-6 Β· SKU TKB-0056

Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimu Gredi 4

KSh 730.80
In stock
πŸ’¬ Ask about this product
🚚 Delivery to your location
πŸ’΅ Pay on delivery or πŸ“² M-Pesa Paybill
🧾 Invoice generated instantly after ordering

Product details

Kiswahili Dadisi’ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

β€˜Kiswahili Dadisi’, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi 4, kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa.

Katika mwongozo huu, utapata:

Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa mpya wa umilisi.
Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa.
Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako.
Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

You may also like

Chat with us