Textbooks-Grade 4-6 Β· SKU TKB-0055
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 4
KSh 707.60
In stock π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kiswahili Dadisiβ ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika βKiswahili Dadisiβ, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 4, utapata:
Mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
Mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
Vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya βBurudikaβ.