πŸ“΄ You are offline β€” showing saved pages. Orders and changes are saved on this device and will sync automatically.
πŸ“ž +254 780 821 504 Β· Pay on delivery or M-Pesa PaybillChat with us on WhatsApp
All productsArt & CraftFiling & StorageGrade 1-3Grade 10-12Grade 4-6Grade 7-9Office SuppliesPaper & NotebooksPlay Group-PP2Printing & Computer AccessoriesSchool SuppliesTextbooks-Grade 1-3Textbooks-Grade 10-12Textbooks-Grade 4-6Textbooks-Grade 7-9Textbooks-Playgroup - PP2Writing Instruments.
Home / Shop / Textbooks-Grade 1-3 / Kiswahili Dadisi Mwongozo a Mwalimu Gredi 3
Textbooks-Grade 1-3 Β· SKU TKB-0038

Kiswahili Dadisi Mwongozo a Mwalimu Gredi 3

KSh 638
In stock
πŸ’¬ Ask about this product
🚚 Delivery to your location
πŸ’΅ Pay on delivery or πŸ“² M-Pesa Paybill
🧾 Invoice generated instantly after ordering

Product details

Mwongozo wa Mwalimu

Gredi ya 3

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.

Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.

You may also like

Chat with us