Textbooks-Grade 1-3 Β· SKU TKB-0037
Kiswahili Dadisi Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3
KSh 696
In stock π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevile Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3, utapata:
mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.