Textbooks-Grade 10-12 Β· SKU TKB-0281
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Gredi 10
KSh 1,276
In stock π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala.
Mwongozo huu wa mwalimu una:
Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi
Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa
Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo
Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji
Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
Nyaraka za kitaaluma
Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.