Textbooks-Grade 1-3 Β· SKU TKB-0023
Kiswahili Dadisi Mwongozo wa Mwalimui, Gredi 2
KSh 696
In stock π Delivery to your location
π΅ Pay on delivery or π² M-Pesa Paybill
π§Ύ Invoice generated instantly after ordering
Product details
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na upekee ili kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Umilisi. Vitabu katika msururu huu vitakusaidia kumwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kama ilivyopendekezwa katika Mtaala wa Umilisi.
Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatawachangamsha wanafunzi wako na kuwapa hamu ya kutaka kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko.
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kukuwezesha kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
utangulizi wa kina kuhusu Mtaala wa Umilisi
muhtasari wa umilisi, maadili, masuala mtambuko na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kila suala kuu
maelezo kuhusu jinsi ya kushirikisha vifaa vya kidijitali katika ufundishaji
mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
mapendekezo ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo yatakufaa sana ili kuwawezesha wanafunzi kufaulu katika Mtaala wa Umilisi.